MWEZI WAIKARIBIA DUNIA.

Jana Novemba 14, 2016 wananchi kutoka maeneo mengi duniani walishuhudia tukio la mwezi kushuka chini zaidi ambapi ulionekana kuwa mkubwa kuliko kawaida yake, tukio hili linetokea tena baada ya miaka 68 kupita ambapo lilitokea mnamo mwaka 1948.

Wananchi wa nchi ya Uiengereza ndio walipata bahati ya kushuhudia tukio hill kwa ikatibu zaidi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...