SAMWELI SITTA AFARIKI DUNIA.

Aliyewahi kuwa spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samweli Sitta amefariki dunia akiwa nchini Ujerumani alikoenda kufanyiwa matibabu.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...