MAELFU KUENDELEA NA MAANDAMANO KOREA KUSINI.

Maelfu ya waandamanaji nchini Korea Kusini wameendekea na maandamano ya kumshinikiza rais wa nchi hiyo kuachia madaraka.

Ni wiki ya nne sasa mfulukizo wanachi hao wamekuwa wakiendekea na maandamano na inakadiriwa kufikia leo usiku kutakuwa na waandamanaji takriban laki moja na sabini kuonekana barabarani.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...