LIGI KUU TANZANIA BARA KUENDELEA WIKIEND HII.

Ligi kuu ya soka Tanzania, mzunguko was 15 unaomaliza duru la kwanza mwezi huu, unatarajiwa kuchezwa wikiendi hii kwa timu 12 kuchuana kwenye viwanja mbali mbali.

Jumapili,
African Lyon vs Simba uwanja wa Uhuru dar es salaam.
Mbao Fc vs Azam Fc uwanja CCM kirumba.
Ndanda Fc vs Stand United uwanja Nangwanda.
Tanzania prisons vs Young Africans uwanja Sokoine.
Kagera Sugar vs Ruvu shooting uwanja Kaitaba.
JKT Ruvu vs Toto Africans uwanja Mabatini.

Ligi hiyo itaendelea tens Jumatatu kwa michezo miwili.
Mtibwa sugar vs Mbeya city uwanja Manungu.
Mwadui vs Majimaji uwanja mwadui complex.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...