WABUNGE CCM WAHONGWA SH MILILION 10.

Bungeni, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe amedai wabunge wa CCM wamehongwa shilingi milion 10 kila mmoja ili wasaidie kupitisha muswada was habari.
Mbowe amesema kikao hicho kilifanyika mnamo tarehe 25/10/2016 SAA mbili usiku na kiliongozwa na waziri mkuu akiwa na katibu mkuu wa CCM, Abdulrahaman Kinana.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...