MADRID'S DERBY SIO YA K UKOSA.

Leo tutashuhudia mchezo mkali na wenye upinzani mkali sana katika ligi ya nchini Hispania pale vigogo wawili katika ligi hiyo na mahasimu kutoka katika mji mmoja wa Madrid wakitoana jasho.
Wakati huo Real Madrid anaongoza ligi hiyo akiwa na point 27 huku mahasimu wao Atletico Madrid wakiwa katika nafasi ya nne na point zao 21.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...