RAIS MAGUFULI AIPIGA CHENGA BBC SWAHILI.

Idhaa ya BBC swali imedai kuwa inapata wakati mkumu wa kufanya mahojiano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais John Joseph Pombe Magufuli baada ya Rais John Magufuli kuahirisha mahojiano hayo ikiwa zinebaki dakika chache kufanyika mahojiano hayo.

BBC imedaikuwa haikupata wakati mgumu kama huu pindi walipofanya nahojia na Mh. Edward Ngoyai Lowasa.


No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...