VITUO 26 VYAFUNGIWA NA NACTE.

Kaimu katibu Mtendaji wa NACTE Bw. Adofl Rutayunga amewaanbia waandishi wa habari Jana jijini Dar es Salaam kuwa hatua hizo zimefuatia kutokana na mapungufu yaliobainika katika ukaguzi wa Mara kwa mara unaofanywa na baraza hili.

Bw. Rutayunga amesema ukiukwaji huo wa sheria na taratibu umesababisha elimu iliyokuwa inatolewa na vyuo hivyo kutokidhi matakwa ya kisheria na kitaaluma na hivyo kuleta usumbufu na hasara isiyo ya lazima kwa wanafunzi na wazazi wa wanafunzi wa vyuo husika.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...