HISPANIA YAIDUWAZA ENGLAND DAKIKA ZA MAJERUHI.

Ulikuwa ni mchezo wa kirafiki, lakini huenda kocha wa England Gareth South gate hakufurahishwa na kikosi chake kushindwa kulinda ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Hispania.

Kiungo wa Real Madrid Isco alifunga bao dakika ya 96 na kuisawazishia timu yake baada ya Lago Aspas kufunga bao la kwanza dakika ya 89 ikiwa ni mchezo wake wa kwanza kuitumikia timu ya taifa ya Hispania.

Magoli kutoka kwa Adam Lallana na Jamie Vardy yaliwapa faida Three Lions kuwa mbele lakini baada ya filimbi ya mwisho matokeo vyalisomeka England 2-2 Spain.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...