HULL CITY YAPATA PIGO, WILL KEAN NJE MIEZI 12.

Kean 23, alipata jeraha hilo katika mechi dhidi ya Southampton ambayo walipata ushindi wa mabao 2-1 na alifanyiwa upasuaji siku ya Jana.

Mshambuliaji huyo aliyejiunga na Hull City kutoka Manchester United tarehe 30 mwezi Agosti ameshiriki michezo 6 kwa upande wa Mike Phelan.

Kumpoteza mchezaji mwenye kiwango cha Hill kwa muda mrefu ni pigo kubwa, alisema Phelan.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...