Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars inajitupa uwanjani Leo kukabiliana na timu ya Taifa Zimbabwe katika kusaka tiketi ya kushiriki fainali za kombe la Dunia.
Kikosi cha timu ya Taifa stars kinachonolewa na kocha mzalendo Charles Boniface Mkwasa, makipa ni Deogratius Munishi na Aisha Manila, mabeki ni Erasto Nyoni, Michael Aidan, Mwinyi Haji, Mohammed Hussein na Vincent Andrew.
Viungo wa kati ni Himid Mao, Mohammed Ibrahim, Jonas Mkude na Muzarimu Yassin na wale wa pembeni ni Shiza Kichuya, Simon Msuva na Jamal Mnyate, huku safu ya ushambuliaki inaongozwa na Mbwana Samatta,Ibrahimu Ajib, Elius Maguri, Thomas Ulimwengu na Omar Mponda.
Mchezo huu utakuwa na faida zaidi kwa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa stars kama waitaifunga Zimbabwe katika mchezo wa leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
H. E SAMIA SULUHU HASSAN
Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...
-
Habari kubwa kwenye vichwa vya magazeti ya Tanzania leo june 28, 2018, tukianza na Udaku , Michezo na Hardnews ...
-
Nyegere ni mnyama asiyeogopa chochote mile kwani anauwezo wa kuwakabili wanyama wakali na wakubwa kama simba au chui na wasimdhuru, ni mmoja...
-
Karibu tena, ni asubuhi nyingine tunakuleta habari mbalimbali za vichwa vya magazeti ya nyumbani Tanzania leo July 04, 2018, tukianza na...
No comments:
Post a Comment