PUMZIKA KWA AMANI WAZIRI WETU WA ELIMU JOSEPH MUNGAI.

Aliyekuwa wazili wa elimu katika serikali ya amawu ya tatu iliyokuwa ikiongozwa na rais William Benjamin Mkapa, Joseph Mungai amefariki dunia.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotufikia waziri huyo wa elimu wa serikali ya awamu ya tano alifariki Jana.

Tunakuombe upumzike kwa Amani Mh. Joseph Mungai.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...