THABO MBEKI ATETA NA MAGUFULI IKULU.

Rais John Magufuli afanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Afrika Kusini Thabo Mbeki hapo jana Ikulu.

Mazungumzo hayo yalikuwa yakiuhusu Umoja wa Afrika (AU) na vile vile Rais huyo mstaafu alimpongeza Mh. John Joseph Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...