MGONJWA WA FUTI 7.4 AKOSA HUDUMA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

Ni kijana Baraka anayesumbuliwa na tatizo ya nyonga amekosa huduma katika hospitali ya Taifa Muhimbili.

Hii ni kutokana na urefu aliokuwa nao hivyo analazimika kwenda nje ya nchi kwa matibabu zaidi.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...