JUMBA LA KIFAHARI LA DONALD TRUMP.

Familia ya Rais wa Marekani aliyechaguliwa hivi karibuni Donald Trump imezidi kuteka vichwa vya vyomba mbalimbali vya habari huki ikijiandaa kuingia ikulu ya White House.

Ukiachilia mbali nafasi aliyopata mfanyabiashara huyo tajiri, Donald Trump anaishi maisha ya kifahari kwenye jumba lake lenye thamani ya shillingi za Tanzania zaidi ya Billion 215.

No comments:

Post a Comment

H. E SAMIA SULUHU HASSAN

 Baada ya kifo cha aliyekuewa raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayari John Pombe Joseph Magufuli, aliekuwa makamu wake mama Samia S...